Bashe apigilia msumari hoja zake kuhusu utekaji, mauaji

  • 6 years ago
Mbunge wa Nzega Mjini akizungumza na waandishi wa habari juu ya hoja yake binafsi kuhusiana na masuala ya utekaji na mauaji ya viongozi mbalimbali wa kisiasa ikiwemo wale wa CCM kule Kibiti ambapo idadi yao imefikia zaidi ya kumi na tano hadi sasa, pamoja na kujeruhiwa kwa baadhi ya viongozi wengine.