Gavana Wa Nyeri Awahimiza Wakaazi Kufuata Kanuni Za Corona
  • 3 years ago
Gavana Wa Nyeri Mutahi Kahiga Amewarai Wakaazi Wa Nyeri Kutovunja Sheria Za Corona Baada Ya Kaunti Hiyo Kurekodi Asilimia 57 Ya Maambukizi Ya Corona.Mutahi Amedai Kuwa Ongezeko Hilo Ni Kutokana Na Wakaazi Kukiuka Shjeria Za Corona .Kwa Hayo Na Mengine Mengi Ni Katika Matukio Majimboni …..
Recommended