Shirikisho La Soka Laandaa Mafunzo Ya Siku Mbili Kuimarisha Uongozi Wa Kinadada
  • 3 years ago
Shirikisho La Kandanda Nchini Limeanza Mafunzo Ya Uongozi Kwa Wanasoka Kinadada Humu Nchini. Mafunzo Hayo Ya Siku Mbili Yatawaleta Pamoja Makocha Na Nahodha Wa Vilabu Vya Kinanada Katika Ligi Kuu Ya Soka Ya Kinadada. Mafunzo Yananuia Kuimarisha Uongozi Miongoni Mwa Kinadada
Recommended