Timu Ya Taifa Ya Ndondi Ilianza Mashindano Ya Zone 3 Kwa Ushindi

  • 3 years ago
Mabondia Wa Kenya Waling'ara Katika Siku Ya Kwanza Ya Mashindano Ya Masumbwi Ya Afrika Ya Ukanda Wa Tatu Jijini Kinshasa Katika Jamhuri Ya Kidemokrasia Ya Congo.Mshindi Wa Nishani Ya Shaba Ya Michezo Ya Afrika 2019 Boniface Mugunde Alimlemea Jean Marie Onana Ngah Kutoka Cameroon Uzani Wa Kilo 69.

Recommended