BI HINDU: KOCHA WA YANGA NI MWANAMUZIKI, ANAVAA KAMA SURUALI KAMA BOZI BOZIANA

  • 6 years ago
Kuelekea mechi ya Simba na Yanga tambo zimeshaanza kwa baadhi ya mashabiki, mwanachama mkongwe wa Simba, BI HINDU amefunguka kwa kusema kuwa hata iweje lazima Yanga wafe Jumapili Aprili 29, 2018 lakini amemzungumzia kocha mpya wa Yanga, Zahera Mwinyi.