Kocha wa Harambee Stars, Kimanzi apigwa kalamu

  • 12 years ago
http://www.ktnkenya.tv
Kocha Francis Kimanzi amepigwa kalamu kama kocha wa timu ya taifa Harambee Stars na badala yake akapewa jukumu la mkuu wa kiufundi wa timu hiyo. hii ni baada ya Kenya kushindwa dhidi ya Hawks wa Togo kunaashiria kwamba kenya haitakuwa miongoni mwa nchi zitakazosalia shabiki katika dimba hilo litakaloandaliwa afrika kusini mwaka ujao. Na huku wakufunzi zaidi ya 20 wakitwaa uongozi wa timu hii kwa kipindi cha miaka nane iliyopita, je, suluhu ni kuwa na kocha wa kigeni? Hassan Jumaaa anatathmini.