Mutai atabiti matokeo bora katika Marathon

  • 12 years ago
watch live news from: http://www.ktnkenya.tv

Mwanariadha wa mbio za marathon, Emmanuel Mutai ametabiri matokeo bora kwa timu ya marathon ambayo itawakilisha kenya katika mashindnao ya olimpiki jijini London mwezi wa nane. Mutai ambaye alichukua nafasi ya Moses Mosop ambaye alijeruiwa anafanya mazoezi yake katika uwanja wa chuo kikuu cha Chepkoilel jijini Eldoret.

Recommended