Mungiki yaerejea na sura mpya

  • 12 years ago
http://www.ktnkenya.tv
Idara ya polisi nchini imetoa onyo kali kwa makundi haramu humu nchini na kuwataka wakenya kufahamu ya kwamba kundi haramu la mungiki limerejea tena na sura mpya. Naibu msemaji wa polisi Charles Owino mapema hii leo mchana alipasua mbarika na kusema kuwa polisi hawatoruhusu kamwe makundi kama hayo kuwahangaisha wakenya hususan tunapokaribia uchaguzi mkuu. Mohammed Ali anatuarifu zaidi.

Recommended