Pingamizi La Uchaguzi Wa Gavanna Kilifi

  • last year
Miezi Michache Baada Ya Kuchukua Usukani Wa Kuingoza Kaunti Ya Kilifi,Gavana Gideone Mung'aro Anakumbana Na Kibarua Katika Kesi Ambayo Inapinga Ushindi Wake Katika Uchaguzi Mkuu Wa Agosti 9.Walalamishi Watatu Waliwasilisha Pingamizi Lao Katika Mahakama Ya Malindi.

Recommended