Zaidi Ya Familia 400 Wamepokea Msaada Wa Chakula

  • 2 years ago
Wakaazi Wa Vitongoji Duni Vya Kiandutu, Kaunti Ya Kiambu Hii Leo Walipokea Mchango Wa Chakula Kutoka Kwa Aliyekuwa Mama Wa Taifa Mama Ngina Kenyatta. Zaidi Ya Familia Mia Nne Walipokea Mchango Huo Ambapo Kila Familia Ilipokea Paketi Nne Ya Unga Wa Ngano Na Unga Wa Sima. Haya Yanakuja Wakati Ambapo Baadhi Ya Familia Zinataabika Kukidhi Mahitaji Yao Ya Kila Siku Kutokana Na Janga La Covid-19 Amabalo Limeathiri Familia Nyingi Kiuchumi Nchini.

Recommended