EPRA Yaskumia Lawama Bunge Kwa Ongezeko La Bei Ya Mafuta

  • 3 years ago
Mamlaka Ya Kutathmini Bei Ya Bidhaa Za Kawi Epra Inasema Kuwa Kigezo Muhimu Kinachotathmini Bei Ya Mafuta Nchini Ni Sheria Ya Ushuru Uliowekwa Na Bunge Kwa Bidhaa Zinazoagizwa Kutoka Mataifa Ya Ughaibuni. Naibu Mkurugenzi Wa Mamlaka Hiyo Daniel Kptoo Ameskumia Lawama Mamlaka Ya Ukusanyaji Ushuru K.R.A Na Bunge Kwa Kuweka Vigezo Vilivyowalazimu Kuongeza Bei Ya Mafuta.

Recommended