Kambi Ya Jeshi Ya Manda Imepandishwa Daraja Katika Halfla Iliyoongozwa Na Rais Kenyatta
  • 3 years ago
Siku Ya Leo Ilikuwa Siku Ya Kihistoria Mkoani Pwani Hususan Maeneo Ya Amu Ambapo Rais Kenyatta Ameongoza Hafla Ya Kupandishwa Hadhi Kwa Kambi Ya Jeshi La Wanamaji Ya Manda Kaunti Ya Lamu.Kambi Hiyo Iliokuwa Chini Ya Kambi Ya Mtongwe Sasa Inaweza Kujitegemea Na Kupokea Makamanda Wapya Katika Uendeshaji Wa Oparesheni Zake.
Recommended