Mawaziri Wa Kawi Na Petroli Wadinda Kufika Mbele Ya Seneti
  • 3 years ago
Spika Wa Bunge La Kitaifa Ameiamrisha Kamati Ya Bunge Ya Fedha Kuwasilisha Ripoti Baada Ya Wakenya Wawili Mmoja Kuwasilisha Ombi La Kutaka Kufutiliwa Mbali Kwa Kipengee Cha Sheria Kinachopelekea Bei Ya Mafuta Kupanda. Haya Yajiri Huku Bunge La Seneti Likichachawizwa Na Hatua Ya Mawaziri Wa Kawi Na Petroli Kukosa Kufika Bungeni Kujibu Maswali Kuhusu Ongezeko La Bei Ya Mafuta.
Recommended