Matabibu Nchini Walalamikia Kutengwa Na Katika Kupewa Vibali
  • 3 years ago
Muungano Wa Matabibu Nchini Umelalamikia Kutengwa Katika Kupewa Vibali Vya Vituo Vya Afya Vinavyomilikiwa Na Matabibu. Kulingana Na Viongozi Wa Muungano Huo, Mkutano Unaodaiwa Kufanyika Tarehe 9 Septemba Katika Afisi Za Baraza La Madaktari Nchini (KMPDC) Ulikuwa Na Nia Mbaya Kulemaza Zaidi Ya Asilimia 70 Ya Vituo Vya Afya Vinavyomilikiwa Na Matabibu. Sasa Wanamtaka Waziri Wa Afya Mutahi Kagwe Kuweka Mikakati Ili Kuhakikisha Kuwa Maelezo Yake Pamoja Na Rais Yanaimarishwa.
Recommended