Ruto Apigia Upato Sera Yake Ya Kuubadili Uchumi
  • 3 years ago
Wakati Hayo Yakijiri, Naubu Rais William Ruto Alikuwa Katika Kikao Na Viongozi Kutoka Gatanga Alikopigia Upato Mfumo Wake Wa Kuubadili Uchumi Kutoka Chini Kuenda Juu. Ruto Anasema Kuwa Ni Wakati Mustakabali Wa Taifa Unafaa Kufanyiwa Mabadiliko Ili Wakenya Wengi Waweze Kunufaika.
Recommended