Maafisa Wa Kesi Ya Kianjakoma Wawasilisha Ombi La Kuachiliwa Kwa Dhamana
  • 3 years ago
Maafisa Wa Polisi Wanaodaiwa Kuhusika Na Mauaji Ya Vijana Wawili Huko Kianjokoma Kaunti Ya Embu, Hii Leo Wamewasilisha Mahakamani Ombi La Kuachiliwa Kwa Dhamana. Tayari Mahakama Imeshikilia Kuwa Itatoa Uamuzi Wake Kuhusiana Na Ombi Hilo Tarehe 22 Mwezi Huu. Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Na Maelezo Zaidi…….
Recommended