Taasisi Ya Kwanza Ya Kiufundi Kaunti Ndogo Ya Lagdera Ipo Tayari
  • 3 years ago
Wanafunzi Waliokamilisha Mtihani Wao Wa Kidato Cha Nne Katika Kaunti Ndogo Ya Lagdera Watakaotaka Kujiunga Na Taasisi Ya Elimu Ya Kiufundi (Tvet) Hawatohitajika Kusafiri Tena Zaidi Ya 176 Kwenda Mjini Garissa Baada Ya Serikali Ya Kitaifa Kufadhili Ujenzi Wa Taasisi Katika Eneo La Lagdera. Taasisi Hiyo Iliyozinduliwa Mwaka 2016 Inatarajiwa Kupokea Wanafunzi Kuanzia Mwezi Wa Septemba.
Recommended