Wanabodaboda Watajwa Kuhusika Pakubwa Na Unyanyasaji Wa Kijinsia

  • 3 years ago
Kituo Cha Utafiti Wa Uhalifu Wa Kitaifa (Ncrc) Kinaripoti Kuwa Wahudumu Wa Boda Boda Nchini Wanajumuisha Asilimia Kubwa Ya Wahalifu Wa Unyanyasaji Wa Kijinsia. Katika Ripoti Ya Kila Mwaka Ya Kituo Hicho Iliyopewa Jina La Changamoto Za Uchukuzi Wa Pikipiki Na Boda Boda Nchini Kenya, Wahudumu Hao Wanashiriki Kwa Asilimia 35 Katika Ubakaji Na Unajisi Wa Wanawake Na Wasichana Wanaotafuta Huduma Zao Kila Siku. Na Ili Kukabiliana Na Visa Hivyo Serikali Ya Kaunti Ya Nakuru Imeanzisha Kampeni Ili Kuwahamasisha Wanabodaboda.

Recommended