Koome Kukabiliwa Na Kibarua Kigumu Cha Kutegua Mtego Wa BBI
  • 3 years ago
Spika Wa Bunge La Kitaifa Justin Muturi Ameitisha Kikao Spesheli Cha Bunge Siku Ya Jumatano Ambapo Mojawapo Ya Ajenda Ni Kujadili Hatma Ya Jaji Mkuu Mteule Martha Koome. Koome Aliyepigwa Msasa Na Kamati Ya Haki Na Mambo Ya Sheria Jlac Iwapo Ataidhinishwa Na Wabunge Atakabiliwa Na Kibarua Kigumu Ikiwemo Kesi Ya Mswada Wa Marekebisho Wa Katiba Kupitia Mchakato Wa Maridhiano Na Kujenga Daraja Bbi Ambapo Tayari Mkuu Wa Sheria Paul Kihara Ametishia Kukata Rufaa. Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Na Taarifa Kamili.
Recommended