Wilbroad Gachoka Pia Ahojiwa Bungeni Kuhusiana Saka Ya KEMSA

  • 3 years ago
Naibu Mwenyekiti Wa Chama Cha Jubilee David Murathe Amenyoshea Lawama Baadhi Ya Wandani Wa Naibu Wa Rais William Ruto Kuwa Miongoni Mwa Watu Waliofaidika Kwenye Sakata Ya Mamlaka Ya Kusambaza Dawa Na Vifaa Vya Matibabu Kemsa. Murathe Aliyefika Mbele Ya Kamati Ya Uekezaji Na Mitaji Ya Umma ,Amekana Madai Ya Kuhusika Katika Sakata Ya Shilingi Bilioni 4 Kupitia Kampuni Ya Kilig Inayosemekana Kupewa Tenda Kusambaza Vifaa Vya Kupambana Na Janga La Corona.

Recommended