Seneta Linturi Akamatwa Na Kuachiliwa Na Maafisa Wa Polisi

  • 3 years ago
Hakuna Seneta, Mbunge Wala Mwakilishi Yeyote Atakayekamatwa Na Maafisa Wa Polisi Bila Ya Kufahamishwa Kwa Spika Kwa Bunge Anakohudumu. Haya Ni Kwa Mujibu Wa Spika Wa Seneti Keneth Lusaka Akiongea Muda Mfupi Baada Wa Seneta Wa Meru Mithika Linturi Kuachiliwa Na Polisi. Linturi Alikamatwa Na Polisi Kabla Ya Kuwasili Seneti Kwa Mjadala Kuhusu Mswada Wa Marekebisho Ya Katiba Wa Bbi. Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Na Taarifa Hiyo.

Recommended