Serikali Yajikuna Kichwa Kuhusu Kufufua Sekta Hii

  • 3 years ago
Serikali Inanuia Kweka Mikakati Itakayoinua Sekta Ya Kitalii Licha Ya Kuathirika Na Janga La Virusi Vya Korona. Msemaji Wa Serikali Kanali Cyrus Oguna Hata Hivyo Ametaja Kuwa Amesema Serikali Sasa Inajikuna Kichwa Kuhusu Jinsi Itakavyoisaidia Sekta Hiyo Kufufuka Tena.

Recommended