Waendeshaji Magari Naivasha Wahamasisha Umma Dhidi Ya Corona

  • 3 years ago
Waendeshaji Magari Wamepiga Hatua Za Kuhamasisha Umma Dhidi Ya Janga La Virusi Vya Corona Katika Kaunti Ya Nakuru.Hamasisho Hilo Pia Likihusisha Masharti Mapya Yatakayoona Gari Moja Tu Kutoka Kwa Kila Sacco Likiegeshwa Katika Kituo Cha Kuegesha Magari Mjini Naivasha Kudhibiti Msongamano Wa Wakaazi Wanapoabiri Magari.

Recommended