Mamia Ya Waumini Wafurika Kanisani Bila Kujali Masharti

  • 3 years ago
Agizo La Rais Uhuru Kenyatta Kwa Makanisa Kuruhusu Theluthi Moja Ya Waumini Kama Njia Moja Ya Kuzuia Maambukizi Ya Virusi Vya Corona Imeambulia Patupu Huku Kanisa Nyingi Zikipuuza Masharti Hayo. Ikiwa Ni Siku Ya Jumapili,Mamia Ya Waumini Walimiminika Kanisani Bila Kujali Msambao Wa Covid-19. Wanasiasa Vilevile Walichukua Nafasi Hiyo Kurindima Ngoma Ya Kisiasa Hata Baada Ya Kunyimwa Fursa Ya Kuendesha Misururo Ya Kisiasa .Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Na Taarifa Kamili//

Recommended