Sudi Kufikishwa Mahakamani Hapo Kesho

  • 4 years ago
Mbunge wa Kapseret Oscar Sudi atafikishwa mahakamani hapo kesho kujibu mashtaka dhidi yake. Mbuge huyo asubuhi ya leo alijisalimisha katika kituo cha polisi cha Langas mjini Eldoret. Sudi anatuhumiwa na mashtaka ya uchochezi na matamshi ya chuki.