Kikao Cha Kusikiliza Juliana Cherera Chaahirishwa Hadi Kesho

  • 2 years ago
Vikao Vya Kusikiza Maombi Ya Kubanduliwa Ofisini Kwa Kamishna Juliana Cherera Vimeahirishwa Hadi Kesho. Hii Ni Baada Ya Wakili Wa Juliana Cherera, Appolo Mboya Kutaka Muda Wa Kudurusu Stakabadhi Muhimu Ambazo Anasema Mteja Wake Hakukabidhiwa Na Afisi Ya Karani Wa Bunge. Aidha Mboya Anasema Kuwa Mlalamishi Kutoka Kaunti Ya Kisumu Ambaye Alituma Maombi Yake Ila Hakujibiwa.

Recommended