Wakenya Watoa Hisia Kuhusu Kuchaguliwa Kama Mwanachama Wa UN
  • 4 years ago
Wakenya Wametoa Hisia Mseto Kuhusiana Na Kuchaguliwa Kwake Kama Mjumbe Asiye Wa Kudumu Wa Baraza La Usalama La Umoja Wa Mataifa. Kenya Iliishinda Djibouti Alhamisi Kufuatia Duru Ya Pili Ya Uchaguzi Uliofanyika Kwenye Makao Makuu Ya Umoja Wa Mataifa Mjini New York, Marekani. Kenya Itakuchukua Nafasi Isiyo Ya Kudumu Kwenye Baraza Hilo Kwa Kipindi Cha Miaka Miwili Kuanzia Tarehe 1, Januari, Mwakani. Nchi Zipatazo 191 Zilipiga Kura, Kenya Ikipata Kura 129 Huku Djibouti Ikizoa Kura 62.



Recommended