Wandani Wa Raila Wakabana Koo Na Wale Wa Ruto Kuhusu Harun Aydin
  • 3 years ago
Naibu Wa Rais William Ruto Na Spika Wa Bunge La Kitaifa Justine Muturi Wamewataka Wanasiasa Kuepukana Na Matamshi Ya Kuwagawanya Wakenya Wakati Taifa Linapoelekea Kwenye Uchaguzi Mkuu Wa Mwaka 2022.Haya Yanajiri Huku Wabunge Wa Chama Cha Odm Wakimsuta Ruto Kwa Kumdhalilisha Rais Uhuru Kenyatta Na Kumtaka Kujiuzulu Kama Naibu Wa Rais Iwapo Amechoshwa Na Uongozi Wa Serikali Ya Jubilee .Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Na Taarifa Kamili//
Recommended