DADEKI! Kisa Mo Dewji CCM, CHADEMA NA ZITTO Waungana Ghafla Muda huu! Wafanya tukio hili kubwa

  • 6 years ago
Baada ya tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara maarufu Mo Dewji hiyo jana baadhi ya wabunge wa Chama cha Mapinduzi na upinzani hasa CHADEMA na ACT Wazalendo wameungana kwa kufanya jambo hili kwenye mitandao yao ya kijamii hasa Twitter.

Mpaka sasa hakuna taarifa za kupatikana kwa mfanyabiashara huyo.

CLICK SUBSCRIBE KISHA LIKE NA COMMENT ILI UWEZE KUPATA HABARI NYINGINE KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI.