Mkasa Wa Moto Tena Gikomba, Ni Mara Ya Pili Mwezi Huu Soko Hili Linateketea
  • 2 years ago
Kwa Mara Ya Pili Sasa Mwezi Huu Wafanyabiashara Katika Soko La Gikomba Jijini Nairobi Wanakadiria Hasara.Hii Ni Baada Ya Moto Kuzuka Usiku Wa Kuamkia Leo Na Kuteketeza Mali.Chanzo Cha Moto Huo Bado Hakijajulikana .
Recommended