Kithure Kindiki: Tutaendela Na Oparesheni Za Usalama

  • last year
Waziri Wa Usalama Na Utawala Wa Kitaifa Profesa Kithure Kindiki Ameahidi Wachuuzi Katika Mji Wa Nairobi Ya Kwamba Operesheni Za Usalama Zitaendelezwa Kakikisha Kuwa Wahalifu Wanapatikana Hadi Mafichoni Mwao. Waziri Huyo Aliyasema Haya Hii Leo Alipofanya Ziara Katika Mitaa Ya Jiji La Nairobi Kufahamu Ikwa Opersheni Ya Serikali Ya Kuwafumania Wahalifu Inazaa Matunda.