Shughuli Ya Kuwasajili Wapiga Kura Awamu Ya Pili Umeanza Hii Leo

  • 2 years ago
Wakenya Kwa Mara Nyengine Wanaonekana Kususia Zoezi La Usajili Wa Wapiga Kura Wapya. Uchunguzi Tuliofanya Mchana Wa Leo Umeonyesha Kuwa Maeneo Mengine Ya Usajili Yalisalia Mahame Katika Siku Ya Kwanza Ya Zoezi Hilo. Winnie Maganga Na Taarifa Kamili.

Recommended