Rais Wa FKF Nick Mwendwa Atajibu Mashtaka Mahakamani Jumatatu

  • 2 years ago
Rais Wa FKF Nick Mwendwa Anatarajiwa Kufikishwa Mahakamani Jumatatu Kujibu Mashtaka Mbalimbali Yakiwemo Ya Ulaghai. Mwendwa Alikamatwa Tena Ijumaa Na Kufikishwa Katika Makao Makuu Ya DCI.

Recommended