Nick Mwendwa Akamatwa Tena

  • 3 years ago
Siku Moja Tu Baada Ya Rais Wa FKF Nick Mwendwa Kuachiliwa Na Mahakama Ya Milimani. Mwendwa Amekamatwa Tena Hii Leo Na Makachero Wa DCI Na Kufululizwa Hadi Makao Makuu Ambako Anahojiwa. Hapo Awali Mwendwa Aliandamwa Na Shutma Za Ufujaji Wa Fedha Na Utumizi Mbaya Wa Ofisi.

Recommended