Kongamano La Ugatuzi Laanza Makueni Kauli Mbiu Ikiwa Tabianchi.

  • 2 years ago
Kongamano La Saba La Ugatuzi Wa Mwaka 2021 Limeng'oa Nanga Katika Kaunti Ya Makueni, Ni Kongamano Ambalo Linawaleta Pamoja Wajumbe 3,000 Madhumini Ya Kongamano Hilo Yakiwa Ni Swala La Tabianchi Na Swala Mengine Muhimu Kuhusu Kaunti Za Humu Nchini.