Bahlita: Utapokea Pombe Bila Malipo Kama Utapokea Chanjo
  • 3 years ago
Huenda Wizara Ya Afya Ikaafikia Lengo Ya Kuwachanja Wakenya Millioni 10 Kabla Ya Mwezi Wa Disemba. Hii Ni Kulingana Na Wasimamizi Katika Maeneo Ya Burudani Nchini Ambao Sasa Wameahidi Kila Mkenya Ambaye Atapokea Chanjo Kwa Mahoteli Na Baa Watapokea Pombe Moja Bila Malipo. Wasimamizi Hao Wanashikilia Kuwa Mpango Huu Pia Unalenga Kukwamua Sekta Hiyo Ambayo Kufikia Sasa Imepoteza Billioni 150 Kutokana Na Adhari Za Virusi Vya Corona. Tayari Mpango Huo Umeibua Hisia Mseto Miongoni Mwa Wakenya.