Jengo La Ghorofa 9 Laporomoka Ruiru Kiambu
  • 3 years ago
Jengo Lingine Katika Kaunti Ya Kiambu Limeporomoka Eneo La Ruiru Na Kuharibu Mali Ya Dhamani Isiyojulikana Na Kufikisha Idadi Ya Majengo Yaliyoporomoka Kufikia Matatu Kwa Miezi Mbili Tu Katika Kaunti Hiyo. Jengo La Ghorofa 9 Katika Sehemu Ya Oj Limeporomoja Jumapili Na Kuacha Maswala Vinywani Mwa Wakazi Kuhusu Uwajibikaji Wa Mamlaka Ya Mashamba Na Nyumba Katika Kaunti Hiyo. Dcio Wa Ruiru Justus Ombatio Amesema Uchunguzi Umeanzishwa.
Recommended