Matiang'i: Baadhi Ya Machifu Wanahusika Na Uuzaji Pombe Haramu
  • 3 years ago
Serikali Imenyoshea Machifu Kidole Cha Lawama Kwa Madai Ya Kupokea Hongo, Na Kuwasaidia Wahalifu Kupata Leseni Kwa Urahisi Na Kuuza Pombe Haramu Kwa Wananchi. Hata Hivyo Waziri Wa Usalama Wa Ndani Dkt. Fred Matiang'i Ameelekeza Makamishna Wote Wa Mikoa Na Wa Kaunti Kuzindua Misako Utakaoendelezwa Kwa Siku 30, Na Wale Watakao Patikana Na Hatia Au Kujishirikisha Na Wahalifu, Watachukuliwa Hatua Kali Kisheria. Mwanahabari Wetu Lucy Riley Anatuletea Taarifa Hizo.
Recommended