Hali Tete Ya Usalama Chesogon

  • 3 years ago
Wakaazi Wa Eneo La Chesogon Wamewekewa Makataa Ya Kutotoka Nje Kati Ya Saa Kumi Na Mbili Jioni Hadi Saa Kumi Na Mbili Asubuhi, Kufuatia Mauaji Ya Watu Watatu Wanaodaiwa Kuuwawa Na Wezi Wa Mifugo Wanaoaminika Kutoka Jamii Jirani Ya Marakwet East. Akithibitisha Mauaji Hayo, Kamanda Wa Polisi Wa Kaunti Ya Westpokot Jackson Tumwet Amesema Wezi Hao Walivuka Mpaka Na Kuingia Upande Wa Pokot Na Kuwapiga Risasi Watatu Hao Ambao Walikuwa Wakielekea Nyumbani Jumamosi Jioni.

Recommended