Watu Wawili Wameaga Dunia Na Mmoja Kujeruhiwa Vibaya

  • 3 years ago
Usafiri Katika Barabara Ya Nairobi Kuelekea Nakuru Ulitatizika Kwa Muda Mapema Leo Baada Ya Kundi La Wakaazi Kufunga Barabara Kueleza Ghadhabu Yao Kufuatia Idadi Kubwa Ya Watu Waliofariki Katika Ajali. Kwengineko Watu Wawili Wameaga Dunia Na Mmoja Kujeruhiwa Vibaya Baada Ya Ajali Katika Bara Bara Ya Machakos-Kikima. Mwanhabari Wetu Abdiaziz Hashim Na Maelezo Zaidi……..

Recommended