Mbunge Wa ODM Aladwa Asema Mgawanyiko Katika Nasa Itafanya Ruto Kushinda Urais
  • 3 years ago
Baadhi Ya Wanasiasa Katika Muungano Wa Kisiasa Wa Nasa Wanahisi Kuwa Mgawanyiko Baina Ya Vinara Wa Muungano Huo Utafanya Naibu Wa Rais William Ruto Kuwa Na Nafasi Bora Ya Kuibuka Mshindi Kama Rais Wa Tano Wa Kenya.Haya Yanajiri Baada Chama Cha Anc Kikijiondoa Katika Nasa Na Sasa Macho Yanaanzia Chama Cha Wiper Cha Kalonzo Musyoka Kinachotazamia Kutoa Mwelekeo Wao Hapo Kesho.Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Na Taarifa Kamili.
Recommended