Kikosi Cha Kenya Lionesses Kimegawanywa Mara Mbili
  • 3 years ago
Wiki Moja Baada Ya Kikosi Cha Kwanza Kitakachowakilisha Kenya Katika Olimpiki Kuondoka Nchini,Timu Ya Taifa Ya Kinadada Kenya Lionesses Inakumbana Na Wakati Mgumu Mazoezini Kwani Wachezaji Sita Hawajawasili Kambini Kurume Kutokana Na Vizuizi Vya Covid-19 Ambavyo Vimewaweka Jijini Tokyo Japan Baada Ya Ndege Waliokuwa Ndani Kupatikana Na Kisa Cha Homa Ya Virusi Vya Corona. Mwanaspoti Wetu Davis Mberia Na Taarifa Hii Kwa Kina
Recommended