Mgombea John Wanjiku Aibuka Mshindi Kwa Kura 21,773

  • 3 years ago
Rais Uhuru Kenyatta Amelambishwa Sakafu Na Naibu Wake William Ruto Katika Uchaguzi Mdogo Wa Kiambaa. Hii Ni Baada Ya John Njuguna Wanjiku, Mgombea Wa Chama Cha Uda Chenye Uhusiano Na Ruto Kumbwaga Kariri Njama Wa Chama Cha Jubilee Chini Ya Uongozi Wa Rais Kenyatta. Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Amefuatilia Uchaguzi Huo Na Kukuandalia Taswira Ifuatayo.

Recommended