Zoezi La Kuwatafuta Makamishna Wanne Laingia Siku Ya Pili
  • 3 years ago
Zoezi La Kuwatafuta Makamishna Wanne Kujaza Pengo Katika Tume Huru Ya Uchaguzi Na Mipaka IEBC Imeingia Siku Yake Ya Pili. Wawaniaji Caroline Njeri Na Daktari Catherine Muchiru Walipigwa Msasa Na Jopo Linaloongozwa Na Elizabeth Muli. Hii Ni Baada Ya Roselyn Akombe, Paul Kurgat, Margaret Mwachanya Na Connie Maina Kujiuzulu Muda Mfupi Baada Ya Uchaguzi Wa Mwaka Wa 2017. Shughuli Hiyo Nzima Inatarajiwa Kutamatika Tarehe 22 Mwezi Huu.
Recommended