Treni Yakusafirisha Petroli Yawaka Moto Stesheni Ya Nanyuki
  • 3 years ago
Gari La Moshi La Kubeba Petroli Kutoka Stesheni Ya Nanyuki Hadi Nairobi Liliwaka Moto Masaa Chache Baada Ya Kuondoka Sagana Kaunti Ya Murang'a. Wafanyakazi Waliponea Chupuchupu Kwani Treni Hiyo Haikuwa Imebeba Mafuta. Wazima Moto Waliofika Katika Eneo La Mkasa Walizima Na Kuzuia Moto Kuenea. Na Mwanahabari Wetu Lucy Riley Anavyotueleza, Kulingana Na Shirika La Reli La Kenya, Kiini Cha Tukio Hilo Kilikuwa Dosari Katika Injini Ya Treni.
Recommended