Zaidi Ya Lita 600 Ya Pombe Haramu Kupatikana Mjini Mlolongo
  • 3 years ago
Wakazi Wa Mlolongo Wanaitaka Serikali Ipige Marufuku Uuzaji Wa Pombe Haramu Hususan Za Busaa Na Chang'aa Zinazohatarisha Maisha Yao. Katika Operesheni Iliyoongozwa Na Kamishna Msaidizi Wa Kaunti Ya Machakos, Dennis Ongaga, Polisi Walipata Zaidi Ya Lita 600 Ya Pombe Haramu. Mtuhumiwa Mkuu Amezuiliwa Katika Kituo Cha Polisi Cha Mlolongo. Mwanahabari Wetu Lucy Riley Anatuarifu Zaidi.
Recommended