Wapiga Kura Wachache Wajitokeza Kupiga Kura Bonchari, Juja Na Rurii
  • 3 years ago
Shughuli Ya Kuhesabu Kura Katika Chaguzi Ndogo Za Maeneo Bunge Ya Bonchari Na Juja Pamoja Na Wadi Ya Rurii Kaunti Ya Nyandarua Imeanza. Ilikua Siku Iliyoshuhudia Idadi Ndogo Ya Wapiga Kura Waliojitokeza Pamoja Na Purukushani Za Kisiasa. Tazama
Recommended