Mama Wa Watoto Wawili Apata Alama Ya B- Katika Mtihani Wa KCSE 2020

  • 3 years ago
Huku Mbwembwe Na Shamra Shamra Za Kusherekea Matokeo Kwa Wanafunzi Walifanya Vyema Katika Mtihani Wa Kitaifa Wa KCSE Mwaka 2020 Uliotangazwa Jumatatu, Mama Mmoja Katika Eneo La Olaare Eneo Bunge La Ainabkoi Kaunti Ya Uasingishu Hakuachwa Nyumba Baada Ya Kupata Alama Ya B- Na Kuongoza Katika Shule Ya Mseto Ya Upili Ya Olaare Licha Ya Changamoto Ya Ulezi Wa Wanawe Wawili Baada Uja Uzito Mara Mbili Akiwa Bado Shuleni. Winnie Lubembe Na Taarifa Hiyo.

Recommended