Koome Ana Tajriba Ya Uwakili Ya Miaka 33

  • 3 years ago
Jopo La Tume Ya Huduma Za Mahakama Limemteua Jaji Martha Koome Kuwa Jaji Mkuu Mpya Wa Kenya, Baada Ya Kuibuka Kidedea Kufuatia Mahojiano Ya Wagombea Yaliyotamatika Wiki Iliyopita. Lakini Je Martha Koome Ni Nani Na Safari Yake Imekuwa Vipi?

Recommended