Wabunge Wataka Kupewa Chanjo Ya Corona Kuonyesha Uongozi Mzuri

  • 3 years ago
Huku Kenya Ikipambana Na Wimbi La Tatu La Maambukizi Ya Virusi Vya Corona, Idadi Ya Watu Wanaopokea Chanjo Iko Chini Zaidi Na Kuzua Wasiwasi. Kamati Ya Bunge Ya Mawasiliano, Habari Na Ubunifu Imesema Hatua Ya Rais Uhuru Kenyatta Na Waziri Wa Afya Mutahi Kagwe Kususia Chanjo Ni Pigo Kubwa Kwani Wakenya Wengi Hawana Imani Na Chanjo Hiyo.Sasa Wanaitaka Wizara Ya Afya Kuwapa Nafasi Ya Kupata Chanjo Ili Kuonyesha Uongozi Mmzuri.

Recommended